Revelation of John 5:9

9 aNao wakaimba wimbo mpya, wakisema:

“Wewe unastahili kukitwaa kitabu
na kuzivunja lakiri zake,
kwa sababu ulichinjwa
na kwa damu yako ukamnunulia Mungu watu
kutoka kila kabila, kila lugha,
kila jamaa na kila taifa.
Copyright information for SwhNEN